News
KATIBU Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Tanzania, Balozi Ombeni Sefue, amesema ili nchi za Afrika zifanikishe kutoa elimu bora, kwa ...
MWENGE wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye sh. bilioni 1.494 ambao unakwenda kuhudumia wananchi 6,407 wa vijiji vya Kwala na Mwembe Ngozi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. Meneja wa Wakala wa Maji ...
BEI za jumla za mchele, mahindi na maharage zimeongezeka katika kipindi cha kuanzia Februari 2024 hadi Februari 2025, ripoti ...
VIONGOZI wastaafu Afrika pamoja na wataalamu wa maendeleo wametoa wito kwa serikali barani humo, kutekeleza mikakati ...
MIAKA minne ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afyaimekuwa kielelezo cha mafanikio ya utawala wake ikiwa ni sehemu ...
WACHIMBAJI wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wameianguka serikali kuwasaidia kuapata nishati ya ...
KAIKA kipindi kuanzia Julai 2024 hadi Februari 2025, serikali imesajili mashirika 939. Mashirika hayo yametelekeza jumla ya miradi 405 iliyochangia upatikanaji wa huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu ...
WAZIRI wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro, amewataka wananchi Mkoa wa Tanga, kuhakikisha wanashirikiana kutokomeza vitendo ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kutokana na takwimu kuonesh ...
SERIKALI imeendelea kutekeleza mkakati wa kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wafanyabiashara ndogo. Hadi Februari 2025, tayari wafanyabiashara 63,222 wamesajiliwa. Aidha, shilingi bilioni nane zim ...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah, amemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa Kampeni ya ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya afya nchini, yamechangia kwa kiasi ...
SERIKALI imesema itaendelea kuhakikisha huduma zinazohusiana na masuala ya UKIMWI zinaendelea kupatikana na hakuna Mtanzania ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results